MENEJA WA TRA AKAMATWA NA MENO YA TEMBO

0:00

10 / 100

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.

Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo za Serikali Wilaya ya Kibondo Julai 2,2024 akiwa kwenye gari binafsi majira ya usiku na anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Meneja huyo wa TRA anadaiwa amekuwa akifanya biashara ya meno ya Tembo kutoka Wilaya ya Kibondo na Kakonko kwenda mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi ikiwemo Burundi.

Hata hivyo kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa za mauaji ya Tembo katika misitu na hifadhi zilizopo katika wilaya ya Kibondo na Kakonko.

Taarifa kutoka Wilayani humo inaonyesha kuwa kuna jitihada za kuficha suala hilo kwa kutengenezwa mazingira ya rushwa ili kulimaliza jambo hilo ambalo ni uhujumu uchumi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

I’m looking forward to Oscar nomination -Kehinde...
Actress, Kehinde Bankole, who recently clinched the Best Lead Actress...
Read more
Olympic Games debutant Nurul Izzah Izzati Mohd...
The 20-year-old used the steep transition incline at the track...
Read more
Atletico coach praises PSG ahead of teams'...
Atletico Madrid coach Diego Simeone spoke in glowing terms about...
Read more
Kansa ya Uume,Dalili,Chanzo,Tiba na Kinga
Kansa ya uume ni aina ya saratani inayotokea kwenye tishu...
Read more
ALI BONGO BAADA YA KUPINDULIWA HAWA MAARUFU...
Makala Fupi Ali Bongo Ondimba ,mtoto wa Omar Bongo,ambaye alikuwa Rais...
Read more
See also  MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA KUJIVUNIA

Leave a Reply