0:00
Baada ya kufutwa kazi kama kocha mkuu ya AC Milan, mkufunzi, Stefano Pioli ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ittihad ya Saudi Arabia akichukua mikoba ya Muargentina, Marcelo Gallardo.
Licha ya kusheheni nyota kama Karim Benzema, N’Golo Kante na Fabinho klabu hiyo ya Saudi Pro League ilikuwa na msimu usioridhisha ikimaliza nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi hiyo.
Pioli (58) raia wa Italia aliiongoza AC Milan kuanzia Oktoba 2019 mpaka mwisho wa msimu uliopita akiiongoza Milan kushinda Ligi Kuu Italia mnamo 2022 na kufika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2022/23.
Related Posts 📫
Rapper and businessman Sean Combs "Diddy", has been accused by...
Dar es salaam
Watumishi wa Posta ni maofisa George Mwamgabe,Sima...
Makala Fupi
Leo mtandao wa Google umetimiza miaka 25 tangu ulipoanzishwa...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
The swearing-in of the 23rd Chief Justice of Nigeria and...