Stefano Pioli kocha mkuu Al Ittihad

0:00

9 / 100

Baada ya kufutwa kazi kama kocha mkuu ya AC Milan, mkufunzi, Stefano Pioli ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ittihad ya Saudi Arabia akichukua mikoba ya Muargentina, Marcelo Gallardo.

Licha ya kusheheni nyota kama Karim Benzema, N’Golo Kante na Fabinho klabu hiyo ya Saudi Pro League ilikuwa na msimu usioridhisha ikimaliza nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi hiyo.

Pioli (58) raia wa Italia aliiongoza AC Milan kuanzia Oktoba 2019 mpaka mwisho wa msimu uliopita akiiongoza Milan kushinda Ligi Kuu Italia mnamo 2022 na kufika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2022/23.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Deputy President Gachagua Reaffirms Commitment to Lamu...
Deputy President Gachagua Reaffirms Commitment to Lamu Security Amid...
Read more
Sababu Zinazochangia Wajawazito Kupata Fangasi Ukeni
Fangasi ukeni kwa mjamzito ni mojawapo ya maambukizi kwenye uke...
Read more
TUPILIENI MBALI KESI YA GACHAGUA
Nairobi - Rais wa kenya William Ruto ameitaka Mahakama kuu...
Read more
MAZISHI YA KIHISTORIA YA RAIS HAGE GEINGOB
HABARI KUU Hatimaye aliyekuwa rais wa Namibia, Hage Geingob ambaye...
Read more
ORODHA YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAO WAKO...
MICHEZO Pacome, Aucho, Yao hatarini kuwakosa Masandawana "Natarajia kuwakosa baadhi ya...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Hassan Mwakinyo amtwanga mpinzani wake Patrick Allotey usiku wa manane

Leave a Reply