0:00
Rais wa Marekani Joe Biden kwa mara nyingine, amekiri kuwa hakuonesha uimara wakati wa mdahalo wa Televisheni dhidi ya mpinzani wake, rais wa zamani Donald Trump rump wiki iliyopita, na kuapa kujiimarisha katika siku zijazo na katika uwanja wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwezi Novemba.
Siku ya Jumatano, Biden alikutana na kufanya mazungumzo na Magavana wa chama chake cha Demokratic ambao wamesema wanamuunga mkono mpaka mwisho.
Kumekuwa na ripoti kuwa Biden mwenye umri wa miaka 81, huenda akaachana na harakati za kutafuta urais kwa muhula wa pili, huku Ikulu ya white house ikisema hakuna mpango huo.
Related Posts 📫
HABARI KUU.
Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani, Papa Francis, amesema...
The Unbeliever: Marriage can be hard enough at times, add...
HABARI KUU
Watu wasiojulikana wamemfyatulia risasi zisizopungua nne Mbunge wa...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
HABARI KUU
Watu 15 wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa...