Alisha Lehman Raia Wa Uswisi Pamoja Mpenzi Wake Douglas Luiz Raia Wa Brazil Wameondoka Wote Kwa Pamoja Ndani Ya Klabu Ya Aston Villa Ya Uingereza Na Kujiunga Na Klabu Ya Juventus Ya Italy .
Hapo Awali Wapenzi Hao Walijiunga Kwa Pamoja Ndani Ya Klabu Ya Aston Villa Na Sasa Kwa Pamoja Wanaondoka Klabuni Hapo Na Kujiunga Na Juventus .
Alisha Kehman Ndiye Mchezaji Wa Kike Mwenye Mvuto Zaidi Na Wafuasi Wengi Zaidi Duniani Kwa Sasa.
Ikiwa Inazidi Kuaminika Na Kuleta Picha Mbaya Kuwa Katika Soka La Wanawake Kumejawa Na Wasagaji (Wapenzi Wa Jinsia Moja) Kitu Kinachopingwa Vikali Na Baadhi Ya Dini,Mataifa Na Tamaduni Basi Alisha Amekuwa Mstari Wa Mbele Kuonyesha Ni Kwa Namna Gani Si Kila Mchezaji Wa Kike Hufanya Uovu Huo …
Mfano Wa Wachezaji Hao Hapa Kwetu Ni ;-
- Aisha Masaka 2. Stumai Abdallah 3. Amina Bilali 4. Joyce Lema 5. Protasia Mbunda 6. Fatuma Issa 7. Asphaty Kasindo 8. Opah Clement 9. Etoo Mlezi 10. Fatuma Khatibu (Foe) 11. Asha Mwalala Na Wengineo Ambao Wamekuwa Barua Njema Sana Kwa Jamii Yetu Kuhusu Wachezaji Wa Kike …