Rais wa Liberia Joseph Boakai ametangaza kuwa atapunguza mshahara wake kwa 40%.

Ofisi yake ilisema ana matumaini ya kuweka mfano wa "utawala unaowajibika" na kuonyesha "mshikamano" na Waliberia. Mishahara ya serikali imekuwa ikichunguzwa vikali hivi karibuni huku Waliberia wakilalamikia kupanda kwa gharama…

Continue ReadingRais wa Liberia Joseph Boakai ametangaza kuwa atapunguza mshahara wake kwa 40%.