Mkuu wa Mkoa Anayetuhumiwa Kulawiti Apandishwa Mahakamani

0:00

9 / 100

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahaya Nawanda amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kulawiti.

Dkt. Nawanda amepandishwa kizimbani leo Jumanne Julai 9, 2024, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Erick Marley na kusomewa shtaka hilo na waendesha mashtaka wa Serikali, Magreth Mwaseba na Martha Mtiti.

Kwa mujibu wa Mwaseba, Nawanda alitenda kosa hilo kinyume na kifungu namba 154 (1)(a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

“Mshtakiwa, Yahaya Nawanda, Mkazi wa Nyamata wilayani Bariadi mkoani Simiyu unashtakiwa kwa kosa la kumwingilia kinyume na maumbile’kumlawiti Tumsime Ngemela kosa ulilolitenda Juni 2, 2024 eneo la maegesho ya magari lililoko Rock City Mall wilayani llemela mkoani Mwanza,” amesema Mwaseba.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

NDEGE YATUA NA MAAGIZO JUU ...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo...
Read more
ACHIEVING FEMALE ORGASM: TIPS FOR PARTNERS come...
Bringing a woman to orgasm has need alot of patience,...
Read more
HOW TO SEDUCE YOUR HUSBAND
❤ 1. Don't be ashamed of your sexuality 2. Treat...
Read more
FAHAMU JINSI YA KUUNGANISHA SIMU MOJA KWENDA...
𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗷𝗶𝗻𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂 𝗱𝗶𝘃𝗲𝗿𝘁 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝗠𝗼𝗷𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘄𝗶𝗻𝗴𝗶𝗻𝗲 ? Unajua...
Read more
HOW TO GROW CARROTS
Choose the right location: Carrots prefer full sun and well-drained...
Read more
See also  MWANARIADHA KIPTUM AFARIKI DUNIA

Leave a Reply