0:00
𝗖𝗛𝗔𝗗𝗥𝗔𝗖𝗞 𝗕𝗢𝗞𝗔
Takwimu chache kuhusu Boka (24) :
Ana urefu wa futi sita (6)
Amecheza mechi sita kwenye timu ya Taifa ya DR Congo 🇨🇩 mpaka sasa.
CHAN 🇩🇿 22|23 alikuwa kwenye kikosi cha DR Congo 🇨🇩, alicheza mechi zote.
◉ DR Congo 0 – 0 Uganda.
◉ Niger 1 – 2 DR Congo.
◉ DR Congo 1 – 0 Congo.
◉ Senegal 3 – 0 DR Congo.
◉ DR Congo 0 – 0 Ivory coast.
Alijiunga na FC Lupopo 1July 2021.
◉ 2021 | 24 – FC Lupopo.
◉ 2020 | 21 – Sanga Balende.
◉ 2020 | 19 – TP Mazembe.
Ameanza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mechi zote kubwa FC Lupopo 23|24.
Amecheza 80% ya mechi za Lupopo msimu uliomalizika 23 | 24.
Amecheza mechi kumi za (CAF) akiwa FC Saint Eloi Lupopo sawa na dakika (810′).
Related Posts 📫
MICHEZO
Crystal Palace imeifunga Manchester United nyumbani na ugenini kwa...
NYOTA WETU.
Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Simbu ameshika nafasi ya...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
LOVE TIPS ❤
1. BE PATIENT WITH YOUR PARTNER: Avoid...
❤ Many couples who find their marriage in trouble think...