Klabu ambazo Ziko Mbioni Kununua Mkataba wa Stephanie Aziz ki

0

0:00

Story zinazotrend Nchini ni :

◉ Aziz Ki kuhusu mkataba mpya – 1.
◉ Chama siku ya kwanza kazini Yanga – 2.

Tangu jana Aziz Ki kaishika mitandao yote ya kijamii, watu wameshasahau kwamba kuna usajili wa zaidi ya wachezaji (12) umefanyika.

ℹ️ Aziz Ki anashikilia rekodi ya likes na comments nyingi zaidi kwa mchezaji wa soka kupata kwa muda mfupi kwenye utambulisho wake East Africa.

Nimekuwekea wachezaji waliotambulishwa msimu huu ukilinganisha na Aziz Ki.

Stephane Aziz Ki 🇧🇫

◉ 23 hours ›› Siku moja !
◉ 27,007 ›› Comments elfu (27+)
◉ 408,329 ››Likes laki (4+)

Clatous Chama 🇿🇲

◉ Siku kumi.
◉ 6,374 ›› Comments elfu (6+)
◉ 107,792 ›› Likes laki (1+)

Jean Charles

◉ Siku sita.
◉ 6,463 ›› Comments elfu (6+)
◉ 87,917 ›› Likes elfu (87+)

📲 Takwimu kutoka Instagram !

Hii inaonesha jinsi gani Aziz Ki alivyomkubwa 𝗸𝗶𝘀𝗼𝗸𝗮 kwa sasa Afrika. Na huenda picha yake atakaporejea Yanga kesho itaweka rekodi nyingine ya kupata likes nyingi zaidi kwa sababu inasubiriwa kwa hamu na watu wote wa Yanga hata wapinzani wao.

𝗜𝗸𝗼 𝗻𝗮𝗺𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶 :

ℹ️ 20 June 2024 klabu ya Kaizer Chiefs 🇿🇦 ilimpa ofa Aziz Ki ya Tsh (54) million mshahara kwa mwezi mmoja.

ℹ️ 29 June 2024 klabu ya CR Belouizdad 🇩🇿 ilimpa ofa Aziz Ki ya I+ Billion mshahara kwa mwaka yaani USD 440,000 per year.

◉ Tsh 93 million kwa mwezi.

Klabu zingine zilizotuma ofa ni Orlando Pirates, Super sport United.. Ofa hizo ni OFFICIAL zimethibitishwa sio tetesi.

Aziz Ki alishasaini mkataba na Yanga ofa hizo zimeichanganya management yake.

See also  Takwimu za Hatari za Nyota Mpya Yanga CHADRACK BOKA

ℹ️ Aziz Ki atawasili Nchini usiku wa manane leo kujiunga na kambi ya Yanga Avic Town.

Aziz ki akibaki Yanga Engineer Hersi Said atakuwa kajijengea jina kubwa Afrika kwa kuweza kupangua hela za mwarabu.

ℹ️ CR Belouizdad 🇩🇿 wako tayari kuununua mkataba ambao Aziz Ki alishasaini Yanga.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading