0:00
Mashirika ya ndege ya Mali yamesitisha safari za ndani na za kimataifa za ndege kutokana na uhaba wa mafuta.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Kanali Yahya Toure, amesema hali hiyo “inaweza kuendelea hadi Julai 15,” akisisitiza kwamba mashirika ya ndege lazima yawajulishe abiria kuhusu kupanga upya safari zao au kutafuta njia mbadala.
Kwa mujibu Toure, kusimamishwa kwa safari za ndege kunasababishwa na uhaba wa mafuta ya ndege aina ya A1 katika ghala la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Modibo Keita.
Related Posts 📫
MICHEZO
Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo ameweka wazi...
SYDNEY, - Australia's most decorated Olympian, Emma McKeon, announced her...
HABARI KUU.
Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Lohannis, amewasili nchini...