Kwanini Mali Imesitisha Safari za Ndege?

0:00

9 / 100

Mashirika ya ndege ya Mali yamesitisha safari za ndani na za kimataifa za ndege kutokana na uhaba wa mafuta.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Kanali Yahya Toure, amesema hali hiyo “inaweza kuendelea hadi Julai 15,” akisisitiza kwamba mashirika ya ndege lazima yawajulishe abiria kuhusu kupanga upya safari zao au kutafuta njia mbadala.

Kwa mujibu Toure, kusimamishwa kwa safari za ndege kunasababishwa na uhaba wa mafuta ya ndege aina ya A1 katika ghala la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Modibo Keita.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Erik Ten Hag atoa maoni yake juu...
MICHEZO Kocha wa Klabu ya Manchester United, Erik Ten Hag...
Read more
MAREKANI NA CHINA ZAINGIA TENA KWENYE MGOGORO...
Habari Kuu Marekani imetangaza vikwazo kwa makampuni 25 na watu...
Read more
A Chinese firm, Zhongshang Fucheng Industrial Investment...
Peoples Gazette reports that Zhongshang recently received a change of...
Read more
THOMAS TUCHEL NA DADA WA KAZI ...
MASTORI Wakati kocha Thomas Tuchel anaajiriwa ndani ya matajiri wa...
Read more
Lugari MP Urges Raila to Retire, Allow...
Lugari Member of Parliament, Nabii Nabwera, has called on opposition...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  USAFIRI KWENDA KIGAMBONI WASIMAMISHWA KWA MUDA

Leave a Reply