Vitu vitano vinavyo itofautisha yanga na FC ausberg ni.
- Match fever.
Kwa dakika 45′ yanga walikuwa wapo chini kutokana na homa ya MECHI. Yanga walichelewa kuingia mchezoni kutokana labda na utofauti wa ukubwa wa hizi timu mbili. - Constellation (mgawanyo wa majukumu)
Kipindi Cha kwanza timu ilikuwa kama Kuna sehemu majukumu hayakutekelezwa vizuri hasa viungo wa chini, sure boy na mud, hii imechagizwa na umahili wa viungo wa juu wa ausberg. - Technical abilities.
Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na team ni mkubwa kwa ujumla kulinganisha na yanga. Namna ya kuchora mistari ya hatari na kutegua mitego kwao sio shida.
4.Match intensity and endurance.
Hii ni running with a ball or without a ball, yanga Kuna muda upepo ulikuwa unakata. Uvumilivu kwenye MECHI ni kitu kikubwa mno. Ausberg walitumia Kasi ya bundasliga wakati yanga Bado wanajitafuta kufikia Kasi ya Al Ahaly au Raja Casablanca.
- Creation and exploitation of space.
Yanga walitengeneza nafasi ila hwakuzitumia. Ausberg wamepiga shot sahihi Moja kwa kipindi Cha pili na ndio goli la pili. Yanga wametengeza nafasi nyingi kuliko Ausberg lakini imetumika Moja tu.
Yanga mwaka huu wanafanya pre season Bora zaidi, huenda wakawa na msimu Bora zaidi. Yanga atacheza TS Galaxy July 24, na baadae Kaizer Chiefs July 28, lakini atakuwa na mchezo siku ya mwananchi na August 8 zaidi ya mnyama.
Ndani ya siku 18 atakuwa amecheza MECHI 5 za kiwango kikubwa.
Related Posts π«
Post does not have featured image
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.