0:00
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amesema pendekezo la Kamala Harris kugombea kiti cha urais cha taifa hilo ni ahueni kwakwe kwa kuwa Rais wa sasa Joe Biden alikuwa na ushawishi na alifanya uchaguzi uwe mgumu.
Akizungumza na CNN baada ya Rais Biden kujiengua katika kinyang’anyiro hicho, Trump amesema Kamala “atakuwa mpinzani rahisi kushindwa kuliko ambavyo ingekuwa kwa Biden.”
Related Posts 📫
MALAGA, Spain 🇪🇸 — As Rafael Nadal prepared to serve...
Japan's Naomi Osaka said she will skip next month's Billie...
Novak Djokovic expects nothing less than a titanic duel with...
LILLE, France, 🇫🇷 - Juventus manager Thiago Motta has stressed...
NEW YORK, - The New York Yankees' first trip to...