Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Julai 21, 2024.

Kwa mujibu ya barua aliyomuandikia Spika, Balozi Mbarouk amesema amefikia
uamuzi huo kufuatia changamoto za kijamii zinazomkabili kwa sasa.
βNinalazimika kuchukua uamuzi wa kujiuzulu ili nipate nafasi ya kushughulikia changamoto hizo,β amesema Balozi Mbarouk

Related News 
Cut off toxic people in your life. Although it is...
TURIN, Italy, - Napoli coach Antonio Conte was pleased to...
The Argentina international, 23, landed in Atlanta in the United...