0:00
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea Urais mwaka 2025 iko palepale kama alivyogombea Urais mwaka 2020.
Akiongea leo July 26,2024 muda mfupi baada ya kuwasili Airport Jijini Dar es salaam akitokea nje ya Nchi, Lissu amesema “Nilipokuwa namkabili Magufuli nilikuwa na miaka 52 mwaka ujao nitakuwa na miaka 57 kwahiyo haiwezi ikawa nina nguvu zilezile lakini nguvu ya hoja, na msimamo wa kisiasa na uaminifu kwa Watanzania bado upo palepale, kwahiyo nia yangu ya kugombea Urais mwaka 2025 ipo palepale, nitaitikia wito wa Watanzania, nitaitikia wito wa Chama changu”
Related Posts 📫
CELEBRITIES
Davido expresses need for electric car charger hours after...
Nigerian rapper Olamide Adedeji has acknowledged the gratitude expressed by...
1.. Words are like keys; if you choose them right,...