Aziz Ki Aweka Rekodi Mpya Akichukuwa Tuzo 3

0:00

8 / 100

Aziz Ki kapiga hat-trick ya tuzo ligi kuu Tanzania bara msimu wa 23 | 24

◉ MVP ›› Stephane Aziz Ki.
◉ Kiungo bora wa msimu ›› Aziz Ki
◉ Mfungaji bora wa msimu ›› Aziz Ki

ℹ️ Niliwahi kusema atachukua zote tatu

Tuzo zingine 23 | 24 :

◉ Kocha bora ›› Miguel Gamondi.
◉ Beki bora ›› Ibrahim Bacca.
◉ Golikipa bora (NBC) ›› Ley Matampi.
◉ Golikipa bora (FA) ›› Djigui Diarra.
◉ Mfungaji bora (FA) ›› Clement Mzize.
◉ Mchezaji bora (FA) ›› Feisal Salum.
◉ Goli bora la msimu ›› Kipre Junior.
◉ Mwamuzi bora ›› Ahmed Arajiga.

Kikosi bora cha msimu ligi kuu :

◉ Ley Matampi.
◉ Khouassi Yao.
◉ Mohamed Hussein.
◉ Ibrahim Bacca.
◉ Dickson Job.
◉ Mudathir Yahya
◉ Maxi Nzengeli.
◉ Feisal Salum.
◉ Waziri Junior.
◉ Stephanie Aziz Ki.
◉ Kipre Junior.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WIVES: HOW TO PREPARE YOUR HUSBAND WELL...
Learn it, practice it and use it. Look deep into his...
Read more
WACHEZAJI SIMBA KUPATA KIASI HIKI CHA PESA...
MICHEZO Wachezaji wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo...
Read more
"KUNA MCHEZO MCHAFU WA KODI" SAMIA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Max Verstappen says he ‘lost all respect’...
LUSAIL, Qatar 🇶🇦 — Formula 1 champion Max Verstappen said...
Read more
MAX EBERL AMPA OFA YA MWISHO ALPHONSO...
MICHEZO Mkurugenzi wa Michezo wa Bayern Munich, Max Eberl, amesema...
Read more
See also  10 BEST THERAPY OF RELATIONSHIP

Leave a Reply