0:00
Mzee Magoma ameamriwa na mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu kuilipa klabu ya Yanga kiasi kisichopungua Tsh 70 Million za fidia ya kesi ambayo ameshindwa leo 9 Aug 2024.
Pia, mjumbe wa kudumu wa bodi ya wadhamini wa Yanga SC, mke mstaafu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Bi Fatma Karume amemfungulia kesi ya jinai mzee magoma kwa kufoji saini yake.
ℹ️ Iwapo akikutwa na hatia ya kosa hilo la jinai adhabu yake ni miaka (7) jela.
Related Posts 📫
Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye...
In a daring step after his twin brother Peter Okoye’s...
LEVI, Finland — Olympic champion Clement Noel dominated the first...
Fangasi ukeni kwa mjamzito ni mojawapo ya maambukizi kwenye uke...