MAMBO YANAYOPELEKEA MWANAUME KUMWAGA HARAKA BILA KUTAKA.

0:00

4 / 100

inaumiza sana Mwanaume unapohitaji kushitiki tendo mara ghafla umeshamwaga bila kupanga wala kujiandaa, wakati mwingine unamwaga hata kabla haujaingiza uume ukeni,au ghafla baada ya kuingiza umeshamwaga.

Hali hii huwakosesha raha wanawake pia, hujisikia taabu na maumivu ya aibu kwa kuvua nguo na asipewe hitaji lake kihisia.

Leo nitakudokeza mambo yanayopelekea umwage
mapema bila kutaka, au kumwaga hata kabla ya kuingiza, au kumwaga dakika chache tu baada ya kuanza.

  1. Hofu
    Mwanaume ukiwa na hofu, kutojiamini, kumuogopa mwanamke (mfano cheo chake, umri wake (mmama), uchumi wake, urembo wake nk. Ukapata tatizo la uoga basi utakojoa mapema.
  2. Ugeni na mwanamke.
    Unapofanya na mwanamke mgeni kwa mara ya kwanza, kwasababu hauna muunganiko naye, mwili hukwama kwenda naye sambamba, automatically unashindwa kuzuia hisia zako na una mwaga mapema (ikiendelea hata baada ya kumzoea basi hilo ni tatizo)
  3. Kukamia mechi.
    Unapojiandaa kwa kushiriki tendo ukakamia sana, kwamba nikifika pale nitafanya hivi au vile, nitambinua na kumbana ukutani, hizi tambo zinavuruga saikolojia yako, ukifika pale hapa na hapo ushamwaga.
  4. Matatizo ya Kisaikolojia
    Ni hali ya kuamini huwezi kufanya kwa dakika nyingi hata kama uwezo unao ila utaishia dk 2 umemwaga,labda kwasababu mwanamke wa kwanza ulishindwa na hukuamini mwisho ukakubali kuwa wewe ni wa dakika moja.
  5. Mazingira ya Kujamiiana.
    Unafanya tendo ufichoni, au karibu na watu na hutaki wajue, hofu na wasiwasi kimazingira huathiri ufanisi yako, utajikuta unaingiza na kumwaga hata kama hukutaka… hauko huru hata kidogo.

Hayo yote 5 yanatatulika na unaweza kuwa imara ukawa wa dk 10+ ni maamuzi yako na kukubali kuwa tayari una tatizo.

See also  Ligue 1 club Lyon handed provisional demotion over finances

Mambo ya kuzingatia;

Mwanaume hakikisha unamiliki nguvu za kiume za kutosha ,tumia sasa LISHE upone kabisa changamoto inayokusumbua ili uweze kufanya tendo la ndoa vizuri na kuweza kumfikisha mwanamke wako kileleni.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

12 THINGS THAT WOULD MAKE YOUR MARRIAGE...
LOVE TIPS ❤ It’s everyone’s dream to not only get...
Read more
Serbia's Novak Djokovic reached the Olympic singles...
For all his 24 Grand Slam titles and countless other...
Read more
MIAKA 25 YA MTANDAO WA GOOGLE FURSA...
Makala Fupi Leo mtandao wa Google umetimiza miaka 25 tangu ulipoanzishwa...
Read more
Pastor Adeboye apologises for saying it’s impossible...
The General Overseer of the Redeemed Christian Church, Pastor Enoch...
Read more
MAMA ALIVYOOKOA WATOTO 11 KWENYE TUKIO LA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more

Leave a Reply