- CLATOUS CHOTA CHAMA ASUSIA NGAO YA JAMII..
Clatous Chama, kugomea kushangilia ubingwa wa Ngao ya Jamii na Wana Yanga wenzake
Clatous Chama nyota wa klabu ya Yanga Sc, aliyeingia mwishoni mwa mchezo akimpokea Aziz Ki kwa daki chache alizocheza alitoa usaidizi wa bao la nne ambalo liliifanya Yanga kuibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Azam Fc
Cha kushangaza Clatous Chama, kukataa kuvaa medali ya ubingwa WA kombe la Ngao ya Jamii Chama pia hakutaka kuonuesha kufulahishwa na sherehe ya ubingwa huo ambapo alijiweka pembeni sana na wenzake wakifurahia ubingwa.
Licha ya yote hayo Chama kuyafanya haijajulikana nini shida ila kumbuka katika mkataba wa Chama na Yanga ni Chama kuanza katika kikosi namba Moja kwa kila mchezo ikiwa yuko fiti kitu ambacho Yanga Hadi muda huu imeshindwa kutimiza siku chache meneja wa Chama alionyesha kutopenda kitendo hicho wanacho mfanyia Yanga kumfanya Chama kuanzia benchi