JINSI YA KUMFIKISHA MKEO MSHINDO WAKATI WA TENDO LA NDOA

0:00

7 / 100

Mwanamke ni kiumbe anayehitaji Sanaa yàani ufundi ili uweze kuishi naye Kwa Amani. Tunapozungumzia Sanaa au ufundi tunazungumzia yale maagizo ya kuishi nao Kwa AKILI Kwa sababu Huwezi kuwa Fundi pasipo Akili. Ufundi ni Akili au ubunifu ambao huleta ûzuri katika Jambo lolote.

Usitumie Ñguvu kûbwa unapokabiliana na Mwanamke. Kwa Sababu siô sehemu yake. Matumizi ya Ñguvu Kwa Mwanamke labda utumie Akili tisini Ñguvu Kumi.

Hata turudi kwèñye Mada maana wengi mnasema Taikon nawachoshaga na maandiko marefu. Nami Siku hizi nishakuwa Mtu mzima hivyo naanza kuhisi uchovu.

Wanawake wengi wamekuwa wakinipigia Simu wakinilalamikia kuwa tangu wawe kwèñye mahusiano Yao hawajawahi kufika MSHINDO, yàani hawajawahi kufurahia tendo la Ndoa na wenza waô.
Na Siku zinavyozidi kwenda ndivyo ongezeko la idadi ya wanawake wasiofurahia tendo la Ndoa ndivyo linavyozidi kuongezeka. Hivyo Mimi kama Mtibeli nikaona isiwe Kesi ngoja niandika àndiko Hili àmbalo litawasaidia Vijana na Wanaume ambao wàpo tayari kuwafurahisha wenza wao.

Elewa tendo la Ndoa linahitaji mambo yafuatayo;

  1. Afya ya Àkili iliyotulia.
  2. HISIA Kali za Mapenzi
  3. Mwili Safi weñye Afya.

Kimoja Kati ya hivyo kikipungua NI ngumu Kwa Mwanamke kufika au kumfikisha Kileleni au MSHINDO.

Zifuatazo ni Mbinu za kuweza kumfikisha Mkeo au mwenza wako MSHINDO au Kileleni Wakati mnapofanya tendo la Ndoa;

  1. Mvuto na usafi
    Mvutie mkeo. Mfanye Mwanamke wako akutamani. Yàani akikuona anakusikia Hamu ya tendo la Ndoa.
    Mvuto wa kiume siô lazima úwe na sura nzuri kama mahandsome. Kama Huna sura ya mvuto unaweza kukufanya Mwili wako umvutie Mkeo au Wanawake Kwa ujumla. Kuwa na Mwili aa kiume, Mwili mkakamavu na shupavu kama Mwanaume.

Kama Sisi Wanaume tunavyovutiwa na Wanawake weñye maumbile ya Kike, shape na makalio Fulani hivi ndivyo vivyohivyo Wanawake tamaa zào huchochewa pindi waonapo Mwili mkakamavu wa Mwanaume.
Ukakamavu na ushupavu mpaka kwèñye Uume wako.

MSHINDO na Kileleni huanzia kwèñye kipengele cha mvuto wako Kwa Mkeo kwani itachochea tamaa na HISIA Kali za ñgono Kwa Mkeo.

Usafi ni Jambo jingine. Unaweza kuwa mkakamavu na mvuto wa kiume lakini uchafu ukamfanya Mkeo asiwe na hisia za ñgono, mapenzi na wéwe Kwa sbbu ya uchafu wako unanuka harufu mbaya, jasho Kali linalokera.
Elewa kama vile unavyokereka ukisikia harufu mbaya ya Mwanamke ndivyo hivyohivyo nao hukereka.
Safisha kinywa Kiwe kisafi.
Oga na ujisugue Vizuri Kisha upake mafuta mazuri.
Usivae boksa au nguo ya ndàni Muda mrefu zaidi ya Siku tatu.

  1. MFANYE MKEO AWE HURU.
    Mkeo asipokuwa Huru Kwako atakuwa Huru Kwa Mwanaume Mwingine Hilo Wala siô swala la kuuliza.
    Mwanamke àmbaye anakuogopa hawezi kuwa na hisia za Mapenzi na wéwe. Na kama Hana HISIA na wéwe NI wazi Huna namna yoyote ya kumfikisha MSHINDO.
See also  Jimmy Butler set to return for Heat; Terry Rozier out

Unamfokea fokea Mkeo, unamtukana tukana Mkeo. Unampiga piga Mkeo. Mkeo anakuogopa. Hayupo Huru na wéwe. Huyo Kamwe hawezi kufurahia mapenzi utakayokuwa unampa.

Unamlaumu laumu Mkeo. Hujawahi kumsifia, na hupendi kumsifia Mkeo alafu unategemea atakuwa Huru Kwako. Elewa, Mwanamke huwa Huru Kwa Mtu anayemsifia Sana. Kumsifia Mwanamke kunamuongezea Mwanamke kujiamini na kuwa Huru awapo mbele yako.

Kuwa Mr. Right au Mr. Perfect àmbaye Unajiona Bora na kujifanya unajua kîla kitu na hutaki kukosolewa Kamwe Huwezi mfikisha Mkeo Kileleni Kwa sababu Mkeo atakuwa anashindwa kukwambia ukweli hata Wakati wa tendo la Ndoa. Hata akiumia Wakati unamfanya hutojua Kwa sababu ya u-perfectionist wako. Kujifanya mkamilifu na unajua kîla kitu.

Mfanye Mkeo awe Huru. Lazima Afike MSHINDO.

  1. MAWASILIANO
    Hoja hii itakuja automatically baàda ya Mkeo na wewe kuwa Huru Baina Yenu. Mwanamke Hawezi kuwasiliana Kwa tàarifa nyeti hasa za ñgono na Mtu asiyehuru kwàke.
    Wanawake wameumbwa na haya(aibu)
    Lakini haimaanishi kuwa wataendelea kuwa na aibu endapo ûtawapa Uhuru na kujiamini.

Mkeo akiwa Huru lazima akuambie Kwa madoido kuwa Leo anataka ukamfanye mpaka azimie au Leo anataka Polepole. Au anataka mtindo Fulani, au Wakati mnafanya mnakuwa na mawasiliano huku yeye naye akikuambia namna ya kumfanya ili wote mfurahie.

Mkeo kama hajafika MSHINDO lazima akuambie kuwa Leo hujamfikisha au hujamfanya akajisikia Vizuri. Nawe Kwa vile upo Huru na siô Mr. perfect hutojisikia vîbaya zaidi utafurahi Kwa kukupa feedback. Na atakuambia sababu ya kutokufika NI nini.

Mawasiliano Wakati wa tendo NI matokeo ya Maisha Yenu ya Kîla Siku.
Kama Mwanamke Hana mawasiliano na wéwe Wakati WA Tendo NI rahisi kukuficha mambo Makubwa katika Ndoa au familia Yenu.

  1. Usafi wa Uke na uume.
    Hakikisheni kîla mmoja wenu sehemu zenu za Siri ni Safi. Wôte mmenyoa Vizuri ili nywele zisichubue Uke.
    Elewa nywele nyingi sehemu za Siri huchubua Uke na Wakati mwingine Uume. Hii inafanya Mwanamke kûsikia maumivu Wakati unamfanya.

Uwèpo wa Fangasi pia ni sababu ya uchafu wa Uke. NI Vizuri mkatibu Fangasi Kwanza alafu baàda ya kupona ñdipo mfanye mapenzi kwani Mwanamke akiwa na Fangasi Wakati Mwingine hujisikia maumivu Wakati wa tendo na hii kumfanya asijisikie utamu wa kumfikisha MSHINDO.

See also  9 TYPE OF GUYS YOU SHOULD NOT MARRY

Ukavu wa Uke pia ni sababu ya Mwanamke kutofika Kileleni.
Usipake Mate Wala kupaka Mafuta Wakati wa tendo. Utamuumiza tuu Mkeo au Mwanamke wa Watu.

Ukavu wa Uke tafsiri yake bàdo Uke haupo tayari kuingiliwa. Uke ukiwa tayari automatically utatoa Majimaji kwaajili ya kuingiliwa.
Kwa wale weñye Uteute mdogo unaokauka haraka wanashauriwa wale vyakula kama bamia na matunda.

Mwanamke anaweza akawa na HISIA za kufanya ñgono lakini Uke wake usiwe tayari Kwa kuingiliwa. Hii ni Sawa na Sisi Wanaume unaweza Ukawa na Hamu ya kufanya ñgono lakini Uume usiwe umesimama. Kûna sababu nyingi zinazopelekea hayo.

Kumfanya mwanamke Uke Ukiwa Mkavu kutamfanya aumie, na kumchubua hii itapelekea asifike MSHINDO Kwa namna yoyote na Wakati mwingine kuathirika kisaikokojia na kuchukia tendo Kwa Wakati Mwingine.

  1. Muishi Kwa Upendo Siku zote siô uonyeshe mapenzi Wakati ukitaka tendo.
    Ukiishi na Mkeo Kwa Upendo Siku zote kumkojoza haichukua hata dakika tano. Atakojoa hata mara tatu Wakati wewe bàdo hata hujakojoa hata mara Moja.

Wanawake Wanaongozwa na HISIA. Unavyoishi naye Kwa Upendo na kumjali huzidi kumfanya azidi kuwa na hisia na wéwe na hii itakusaidia Wakati unampa mjegeje.

  1. Mwanamke asifanye Kazi nyingi na ngumu zinazomchosha Sana.
    Jitahidi kadiri uwezavyo kumrahisishia Mkeo Kazi za Hapo nyumbani. Kadiri Mwanamke anavyofanya Kazi nyingi ndivyo àmbavyo ugumu WA kumfikisha Kileleni unavyoongezeka.
    Mwanamke akichoka hawezi kuwa na hisia za ñgono au mapenzi. Na kama anakosa HISIA za ñgono automatically kufika MSHINDO NI kipengele.

Mikazi ya Nyumbani inapokuwa mingi humchosha MKEO na ataanza kukuchukia. Mwanamke hupenda Vitu Vizuri na rahisi hivyo mrahisishie Maisha Kwa njia zifuatazo;
a) mtafutie Msaidizi WA Kazi za Nyumbani.
Atakayemsaidia vijikazi vya Hapo nyumbani
Kama Huna Pesa ya Mshahara fuata njia namba Mbili
b) mnunulie Mashine za kumrahisishia Kazi.
Mfano Mashine za Usafi na kufulia, majiko ya kisasa ya kupikia, muwekee bomba la Maji ndàni Kwa ndàni, n.k
Kama hii itakushinda, fuata njia ya mwisho Hapo CHINI.

c) Msaidie Kazi. Saidianeni Kazi.
Kama anaosha Vyombo wewe pika au fua nguo. Au wôte mnafua,
Kama anapika wewe pasi nguo.
Rahisisha Maisha ya Mkeo.

Elewa, Mwanaume kufanya Kazi ngumu nyingi humjenga na kumfanya aimarike na kuwa mkakamavu na shupavu Kwa sababu ya misuli lakini Kwa upande WA Mwanamke ni tofauti. Mwanamke afanyapo Kazi ngumu na nyingi hufifia na kudorora yàani anachakaa.

  1. Usimpe Stress na kumfanya asijihisi anapendwa.
    Mjali Mkeo Kwa Yale yôte uliyojaliwa. Usimpe Stress mfanye ajione yu Pekeake.
    NI kwèli Sisi Wanaume tunatamaa ya Wanawake Wengine na Hilo Wanawake hata Mkeo analijua lakini hakikisha unamuaminisha kuwa Hakuna Mwingine zaidi yake hata kama wewe unamambo yako Kwa Siri.
See also  JINSI YA KUTUMIA BAMIA KUONGEZA UTE UKENI

Ikiwa unashindwa kujizuia Sana. Ukaamua kuchepuka Basi usiwe na mchepuko WA kudumu kama Mkeo yàani kumfanya awe kama Mke WA pili. Chepuka ukiwa na tamaa lakini siô umpangie Mwanamke Mwingine Nyumba, sîjui umhudumie Kabisa hiyo itamuumiza Sana Mkeo na itakuwa mwanzo mbaya WA familia yenu.

Elewa, Mkeo hata akisikia umeenda club au Casino kucheza na Malaya ataumia lakini hataumia kama akiona kûna Mwanamke mara Kwa mara mnawasiliana. Yàani àmbaye anahatarisha nafasi yake katika Moyo wako.
Mkeo hatishwi na Makahaba au Malaya wanaojiuza. Anatishwa na MICHEPUKO inayojirudiarudia.

  1. Kushindwa Kumtunza na Kumjali kama Mkeo.
    Mwanamke akishaona kûna kitu unakijali na kukipenda kuliko yeye NI ngumu kumfikisha Kileleni Kwa sababu anajua haumpendi na Mwanamke HAYUPO Huru Kwa Mtu asiyempenda.
    Mfano Mwanamke akigundua unapenda Wazazi wako na kuwajali kuliko Kumjali yeye. Au unapenda ndugu zako kuliko yeye Hapo HISIA na wéwe Kwa hakika zinaisha.

Mwanamke anahitaji úwe na Àkili za kumfanya ajihisia yeye ndiye namba Moja kwàke hata kama NI uongo.

Hata kama kûna Jambo ambalo unalipenda kuliko Mkeo usiwe mjinga yàani usiwe na Àkili ndogo kumpumbaza, kumlaghai Mkeo kuwa yeye NI Bora kuliko chochote.

NI ishu complicated lakini rahisi Sana kuifanya kama utatumia AKILI.

Elewa ili Watu wamchape Mkeo au wanaochapa Wake za Watu hutembelea Ramani hiyo.
Hiyo kumpa Pesa NI Kwa Mwanamke aliyekosa Upendo wa kwèli na Hapo Huona Pesa ndîo kimbilio pekee lililobaki kwaajili ya mambo yake binafsi Kwa sababu Mwanamke àmbaye hajawahi kupendwa au aliyewahi kuumizwa huwa mbinafsi Kwa kiwango cha juu tofauti na wale Wanawake waliobahatika kupendwa Kwa dhati.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

KELVIN KANGETHE AKAMATWA KENYA BAADA YA KUTOROKA
HABARI KUU Polisi nchini Kenya wamemkamata tena mshukiwa wa mauaji...
Read more
HOW YOU CAN SUCCESSFULLY RAISE BROILER CHICKENS?
You are a beginner in poultry entrepreneurship, let's look at...
Read more
4 WAYS ON HOW TO KNOW HE...
LOVE ❤ 4 WAYS ON HOW TO KNOW HE IS...
Read more
Sabalenka named WTA Player of the Year
Aryna Sabalenka has been voted the WTA Player of the...
Read more
HAJI MANARA AZIDISHA MOTO SUALA LA PRINCE...
MICHEZO Baada ya Mchambuzi wa masuala ya kandanda Jemedari Saidi...
Read more

Leave a Reply