0:00
Wananchi Young Africans Sc wametwaa Ngao ya Jamii 2024 baada ya kutoa kipigo kizito dhidi ya Wanalambalamba, Azam Fc kwenye fainali katika dimba la Benjamin Mkapa.
FT: Yanga Sc 4-1 Azam Fc
⚽ Dube 19’
⚽ Yoro (og) 28’
⚽ Aziz Ki 31’
⚽ Mzize 90+2’
⚽ Feitoto 13’
Yanga Sc wanatwaa ubingwa wa 8 wa Ngao ya Jamii tangu michuano hiyo ilopoanza mnamo 2001, mawili nyuma ya Simba Sc waliochukua mara 10.
Related Posts 📫
The Kenyan National Treasury has submitted supplementary budget estimates for...
Celebrated Nigerian artist Onyeka Onwenu,aged 72, tragically collapsed and died...
Former Premier League striker Nile Ranger has joined Southern League...
Better marketing for the Asian Games and getting more sponsors...
HABARI KUU
Benki kubwa kuliko zote nchini Ethiopia imeendelea na...