DALILI ZA MWANAMKE KUFIKA KILELENI.

0

0:00

1) Uke hubana na kuachia.

Kama ni uume au ni kidole uliingiza ukeni basi utahisi ukibanwa na kuachiwa.
Hii ni misuli ya uke inatanuka na kusinyaa ikiashiria mwanamke kufika kileleni.👇

2) Huhema kwa kasi na kutoa jasho sana.

Hupumua kwa kasi sana kwa dakika kadhaa baadae hupumua taratibu, anapoelekea kufika huhitaji mwanaume uongeze speed, na kama yeye alikuwa juu atapiga speed kali, jasho na pumzi vinamzidia.👇

3) Kulegea mwili ghafla.

Kabla hajafika kileleni huwa amekukumbatia na kukushika lakini akifika kileleni hukuachia na kutulia hafanyi chochote.

Anakosa morali anakuangalia tu au anafumba macho tu.

4) Kuloana sana uke. ( kukojoa)

Wengine hutoa maji mengi hutoka kama bomba kwa kasi ni kiashiria kwamba kafika kileleni (hii hutegemeana na ukoo, kabila au jamii fulani ya wanawake). (Wahaya)

Pia wengine uke hukauka na asitake tena sex pia ni kiashiria kwamba kafika kileleni.

5) Hukuzuiya usiendelee kufanya chochote

Anaweza kukuzuiya usiingize uume ukeni au kidole, ghafla atakataa usiendelee, si kwamba amechoka au anaumia ila ametosheka.

6) Anaweza kukumbatia ghafla.

Anaweza kukubana kwa mikono yake ghafla na ukashindwa kufanya chochote, au kukufinya pengine hata kung’ata shuka au mto kwa nguvu.

7) Hutulia ghafla na kubaki akiwa amekuangalia tu.

Kama alikuwa anapiga kelele mwanzoni basi anatulia ghafla, kama alikuwa anasema anavyojisikia (tamu) mwisho anakaa kimya, anakutazama tu.

8) Hutetemeka au wengine huita degedege, lakini baaada ya mda hutulia.

Hapa si kutetemeka kwasababu ya maumivu bali kwasababu ya ile raha mapaja yanatetemeka, na anataka usiache endelea kumpa, mwisho anatulia, kama ni siku ya mwanaume kuona anaweza kukimbia.

Sio lazima uone dalili zote hizo, dalili moja tu katika hizo ni ishara tosha .

See also  VIDEO YA MBOWE AKIMTUHUMU RAIS SAMIA KUIUZA ARDHI YA TANGANYIKA KWASABABU YEYE NI MZANZIBAR

Mara nyingi wanawake waliowahi kufikishwa kileleni huko nyuma, huweza kuwaacha wanaume zao wapya ambao wameshindwa kuwafikisha kileleni.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading