Yanga Yanasa Sahihi ya Mtambo wa Mabao Kutoka TP Mazembe

0:00

7 / 100

Rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameiomba klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi wawaazime mshambuliaji wao mpya, Sabinah Tom.

ℹ️ Klabu ya Yanga Princess imemsajili mshambuliaji tegemeo wa klabu ya TP Mazembe, Sabinah Tom ambaye ni top scorer wa ligi ya Dr Congo na ameisaidia klabu ya TP Mazembe kufuzu ligi ya mabingwa Africa msimu huu.

Uongozi wa TP Mazembe umeiomba klabu ya Yanga wamtumie Mchezaji huyo kwenye fainali za ligi ya mabingwa Africa hadi klabu hiyo itakapoishia kisha ajiunge na klabu yake mpya ya Yanga Princess.

Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said amekubali ombi hilo. Ameamua kuweka nguvu pia kwenye timu ya Wanawake ya Yanga Princess ambapo hadi sasa wachezaji hawa wakigeni wamesajiliwa.

ℹ️ Sabinah atahudumu TP Mazembe kama mchezaji wa mkopo kutoka Yanga Princess.

Rita Akarekor 🇳🇬
➜ Golikipa timu ya Taifa Nigeria.

Uzoamaka Igwe Confidence 🇳🇬
➜ Beki wa kati timu ya Taifa ya Nigeria.
➜ (CAF) Bronze medalist 🎖️ 🇳🇬🇪🇬

Toluwashe Adeshola 🇳🇬
➜ Kiungo timu ya Taifa Nigeria.
➜ (MVP) ligi kuu ya Nigeria.

Danai Bhobho 🇿🇼
➜ Kiungo timu ya Taifa ya Zimbabwe.

Sabinah Tom 🇲🇼
➜ Striker timu ya Taifa ya Malawi 🇲🇼
➜ Striker klabu ya TP Mazembe.
➜ Top scorer 2023|24.

Usajili unaendelea …

ℹ️ Ligi ya wanawake Tanzania bara itaanza rasmi baada ya nusu fainali za Ngao ya jamii zitakazofanyika kuanzia 24 – 27 September ambapo Simba Queens na Yanga Princess watakutana kwenye mechi hizo za ufunguzi.

See also  KAI HAVERTZ ON MIKEL ARTETA INTERVIEW

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Olympic Games debutant Nurul Izzah Izzati Mohd...
The 20-year-old used the steep transition incline at the track...
Read more
Arteta frustrated by Arsenal's loss at Newcastle
NEWCASTLE, England, 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 - Arsenal boss Mikel Arteta was disheartened...
Read more
French FA reject PSG request to reopen...
The French FA has refused to intervene in the increasingly...
Read more
Injured Rice ruled out of Champions League...
Arsenal midfielder Declan Rice will miss their Champions League match...
Read more
THE 10 KEYS TO A MAN'S HEART
LOVE TIPS ❤ Respect. Admiration. Quality sex (in marriage). Some want quantity...
Read more

Leave a Reply