MAHAKAMA KUU YA KENYA IMESITISHA AZIMIO LA SENETI KUMBANDUA GACHAGUA MAMLAKANI
Mahakama kuu imesitisha azimio la Bunge la seneti la kuunga mkono ombi la kuondolewa kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua lililowasilishwa kwenye Bunge hilo Alhamisi, Oktoba 17. Katika uamuzi huo…