FLAVIANA MATATA MWANAMKE ANAE ICHUKIA NDOA
Flaviana Matata afunguka yaliyomsibu baada ndoa yake kusambaratika 2019, ailalamikia jamii inavyomkalia kooni mwanamke hata pale anapokutana na ndoa iliyojaa ukatili "Kiukweli nimependa sana uwazi/ukweli wa Adele kwenye mahojiano yake…