DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA.

0:00

6 / 100

Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo.
Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na kugombana na Mtu yeyote naomba niandike kifupi Sana.

Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa utateseka na kuteswa Sana;

  1. Huna Kazi na unamtegemea Mwanaume Asilimia 100%.
    Hakuna ubishi wowote kuwa usipokuwa na Kazi na Ukawa unamtegemea Mume wako Kwa Asilimia Mia Moja Hakika utateseka Sana. Lazima uteswe.

Wanawake wengi unaosikia wanateswa Hawana Kazi ya kufanya zaidi ya kuwa Mama wa Nyumbani tuu.

Watu watakaokutesa ukiwa Huna Kazi;
a) Mumeo.
Mumea atakutesa jàmani. ASIJE akakudanganya Mtu kuwa ati atakupenda Miaka yôte huo ni Uongo. Upendo hauendi pàmoja na uvivu au utegemezi. Kadiri unavyomtegemea Mtu ndivyo Upendo wake unavyopungua na ndivyo chuki inavyoongezeka.

Mungu mwenyewe aliyekuumba hapendi úwe tegemezi Kwa Wengine.

b) Wakwe Zako.
Mama Mkwe na mawifi. Watakuchukia vilivyo na wéwe mwenyewe utawachukia. Lazima wakutese na uteseke.
Utafulishwa manguo Ukweni mpaka ukome. Utatumwa vikazi Mshenzi Bila kujali umechoka au laah!
Ûkienda misiba ya Ukweni utamenyeka haswa Kwa sababu Huna lolote wewe. Huna Kazi wewe. Na Kwa nini usiteseke Wakati Huna lolote

c) Wanawake wanaomvizia Mumeo.
Ukiwa MMA wa Nyumbani, golikipa hakika michepuko ya Mumeo wala haitakuogopa. Itakuletea dharau waziwazi na Hakuna lolote utafanya.
Kwanza hata pesa ya kuhonga Polisi kimagendo wakamtie adabu mchepuko wa Mumeo Huna. Pesa za kutafuta Mganga mzuri wa kumloga mchepuko wako hauna. Yàani upoupo tuu kama MAITI.
Nani akuogope wewe.
Tunasema unakuwa nchi isiyo na Jeshi.

Wanawake wanaogopa kumchukua Mume wa mwanamke mwenzao mwenye Ñguvu za fedha au mwenye Mamlaka. Kwa Sababu Siku zote mwenye Pesa anaweza kufanya lolote.

See also  JINSI YA KUKAA KWENYE MAHUSIANO AU NDOA KWA MUDA MREFU

NI kama Sisi Wanaume. Kama Huna Pesa Mkeo anaweza kuchukuliwa Muda wowote na usifanye Jambo lolote ukabaki kulaani tuu.

  1. HUNA ELIMU YA UTAMBUZI
    Kama Huna Elimu ya Utambuzi utateseka na kuteswa Sana ndàni ya Ndoa.
    a) Lazima ujitambue wewe ni Mtu ili uweze kujiheshimu na kuheshimiwa Ûtu wako. Kazi ni kipimo cha Ûtu.
    b) lazima ujitambue wewe ni Mwanamke hivyo lazima ujiheshimu kama Mwanamke.
    Mwanamke anathamani yake. Lazima ujitunze ili uweze kutunzwa..
    Siô wewe mwenyewe hata kujitunza Huwezi alafu utake Mumeo akutunze. Utateswa.
    Lazima úwe Msafi. Nazungumzia Usafi wa Mwili na tàbia. Siô unalala na Wanaume wengi Kama Mbwa. Kîla Mwanaume akijisikia anakuja kumwaga takataka Zake kwèñye shimo Lako la taka. Uchi wako siô jalala.

Usishindane na Mwanaume UFUSKA. Mwenzako yeye huenda kumwaga uchafu wake kwèñye mashimo Huko wewe je, utamwaga uchafu au utamwagiwa matakataka.

Lazima ujitambue.

  1. HUENDANI NA WAKATI.
    MTU yeyote asiyeendana na Wakati lazima Ndoa imtese.
    Hasa Mwanamke. Lazima ujue Dunia Ipo Wapi. Usikubali kupitwa na Wakati katika mambo ya Msingi.
    Zama hizi Wanawake nao wamepewa fursa ya kupata Elimu. Lazima uhakikishe nawe unaelimu angalau ya Diploma kama degree imekushinda.

Huu ni Wakati wa Elimu. Usipokuwa na Elimu ni kwamba HUENDANI na Wakati na Bila Shaka umepitwa na Wakati.
Ndîo maana Shule zîpo Kila kata, ndîo maana vyuo kîla Siku vinajengwa.
Elimu inakuongezea hadhi na thamani kwèñye jamii.

Mwanamke mwenye Elimu hawezi Kulingana hadhi na thamani na Yule Mwanamke asiye na Elimu.
Hata Ukweni unapoolewa ukiwa Huna Elimu hawawezi kukuchukulia wa Maana kivile.
Jitahidi upate Elimu uendane na Wakati.

See also  Rodri out for the serious cruciate ligament injury

Siô uendane na Wakati Kwa mambo yasiyo na kichwa Wala miguu kama kukaa uchi, kwenda na mitindo ya Nguo. Sijui kusuka. Alafu Mbaya zaidi yôte hayo unategemea Mwanaume akufanyie. Huo ni kasongo Yeye.

Huu ni Wakati àmbao Wanawake wanafanya Kazi. Hilo nimeshaeleza. Mwanamke àmbaye anataka kukaa Nyumbani amepitwa na Wakati na Dunia lazima imshughulikie vilivyo.

Sisi Watibeli hatuwezi kuwa na Watu waliopitwa na Wakati hata wangekuwa Wazuri kama Malaika. Tunajua Hakuna mzuri àmbaye amepitwa na Wakati. Mzuri lazima ajitambue, Afanye Kazi, awe na Elimu Mbali na maumbile Yake.

  1. HUWEZI KUMTOA OUT MUMEO NA KUMHUDUMIA.
    Kama hujui Kutoa Pesa ni wewe. Wanawake wengi Sana Siku hizi wakitoka out na Waume zao au familia hutoa Pesa na kufurahia na Waume na familia zào
    Uliona Wapi mwanaume akamnyanyasa Mwanamke anayetoa Pesa ndàni ya familia na Kutoa familia out.

Hakuna Raha kama úwe na Mwanamke àmbaye wôte mna-share siô tuu penzi, miili Yenu, Hisia zenu, mawazo Yenu Bali pia hata pesa au mapato Yenu. Huyo ndîo Mkeo. Kama Mke hawezi kuchangia mapato ndàni ya familia Hapo Hakuna kitu Hapo. Huyo kapitwa na Wakati.

Kwanza sijawahi kuona Mwanamke anayeitwa Mke àmbaye yupo hivyo. Labda Makahaba waliojiingiza kwèñye Ndoa àmbao waô Mume ndîo kîla kitu anatakiwa kuhudumia. Na wengi huteseka na kuteswa.

Mwanamke mwenye uwezo wa kuhudumia familia Hana Muda wa Kufikiri mambo ya sijui ustawi wa Jamii sijui dawati la jinsia Kwa sababu anajua thamani yake.

Wanaume tunajua thamani zetu ndîo maana Kamwe hatuwezi kumpeleka Mwanamke dawati la jinsia sijui ustawi. Huko ni kujivua Ûtu.
Tunajua Sisi tunahitaji zaidi. Tunamchango zaidi. Hivyo tukiona mambo hayaendi Sawa na tumejitahidi kuyaweka sawa tunafukuza.

See also  HOW TO INFLUENCE YOUR HUSBAND

Mwanamke anayejielewa hawezi kumpeleka Mtu ustawi wa Jamii Kisa matunzo ya Watoto wake aliowazaa yeye mwenyewe Wakati Mwanamke Husika anaweza kufanya Kazi na kujitunza na Kûtunza Watoto wake. Ikiwa alikuwa anatoa Pesa na kuchangia pato na Mumewe Kwa nini aone shida akiwa pekeake?.

Kwa ujumla Binti yàngu, Ndoa ni kwaajili ya Wanawake wanaoweza kujitegemea na siô Wanawake tegemezi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

ROLES OF A WIFE TO HER HUSBAND...
LOVE ❤ 10 ROLES OF A WIFE TO HER HUSBAND There...
Read more
HOFU CHANJO SARATANI MLANGO WA KIZAZI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
HOW TO MAKE AN EXCELLENT LADY FALL...
Likes attract likes, birds of a feather flocks together. No...
Read more
PACOME, AUCHO NA YAO WAONGOZANA NA YANGA...
MICHEZO Wachezaji wa Yanga SC viungo Khalid Aucho, Pacome Zouazoua...
Read more
BBNaija stars Beauty and Neo confirm relationships...
OUR STAR 🌟 Former Big Brother Naija housemates Beauty Tukura...
Read more

Leave a Reply