MAMBO YA KUZINGATIA KIJANA UNAPOTAKA KUOA.
Leo sina maneno mengi. Kijana Sasa umekuwa Mkubwa, imefikia hatua unàtaka kuanzisha familia. Unahitaji Kuoa. Yafuatayo ni mambo ya kuyazingatia unapotaka Kuoa; KAZIKabla hujaoa lazima úwe na shughuli yoyote inayokuingizia…