DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA.
Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo.Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na kugombana na Mtu yeyote naomba niandike kifupi Sana. Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa utateseka…