TRUMP kusaini sheria ya kutokomeza mapenzi ya jinsia sawa

0:00

5 / 100

Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kukomesha kile alichokiita “upuzi” wa watu wanaobadili jinsia zao siku ya kwanza atakapoingia madarakani.

Kauli hiyo ya Trump inajiri baada ya shinikizo la Wafuasi Republican wanaotarajiwa kudhibiti mabunge yote mawili ya Marekani wakiendelea na juhudi zao za kupinga haki za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (LGBTQ).

Trump amesema atasaini agizo la kiutendaji kukomesha ukeketaji wa watoto na kuwaondoa watu waliobadili jinsia zao jeshini na mashuleni.

Pia Trump ameahidi kuzuia wanaume wanaoshiriki kushiriki michezo ya wanawake na kuongeza kuwa Merekani itakuwa sera rasmi ya uwepo wa jinsia mbili ambazo ni mwanamume na mwanamke.

Suala la watu waliobadili jinsia zao Nchini Marekani limeendelea kuibua mjadala mkubwa wa kisiasa huku Warepublican na Wademocrats wakionyesha msimamo tofauti juu ya sera kama vile matibabu na aina ya vitabu vinavyoruhusiwa kwenye maktaba za umma pamoja na shule kuhusu maudhui ya mapenzi ya jinsia moja.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

LUPITA NYONG'O ASIMULIA ALIVYOUMIZWA NA MAPENZI
MICHEZO Staa wa filamu nchini Marekani mwenye asili ya Kenya,...
Read more
Chelsea Interest in Philip Jorgensen has Developed...
It is just 10 days ago that we first heard...
Read more
SABABU JOSEPH SELASINI KUMLIPA JAMES MBATIA MILIONI...
HABARI KUU Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda...
Read more
WALIOFANYA SHAMBULIZI NCHINI URUSI WAKAMATWA WANNE
HABARI KUU Serikali ya Urusi, imewafungulia mashtaka watu wanne wanaodaiwa...
Read more
Forest and Chelsea fined by FA for...
LONDON, - Nottingham Forest and Chelsea were fined by the...
Read more
See also  SABABU DRC KUISHITAKI RWANDA MAHAKAMA KUU YA AFRIKA MASHARIKI

Leave a Reply