Mabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wanaanda zaidi ya Pauni 80 milioni kwa ajili ya kutuma ofa kwenda Manchester United ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa timu hiyo na England, Marcus Rashford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

Inaelezwa kuwa, mabosi wa PSG wanataka kumchukua fundi huyu ikiwa ni sehemu ya kuziba pengo la Mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu. Mbali ya ofa hiyo,…

Continue ReadingMabingwa wa Soka nchini Ufaransa Paris Saint-Germain wanaanda zaidi ya Pauni 80 milioni kwa ajili ya kutuma ofa kwenda Manchester United ili kuipata saini ya Mshambuliaji wa timu hiyo na England, Marcus Rashford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

Mitandao ya Netblocks na CloudflareRadar inayohusika na ufuatiliaji wa Huduma za Intaneti na Usalama Mtandaoni imesema baadhi ya Nchi Barani Afrika zimepatwa na tatizo la kukatika kwa Huduma za Intaneti, sababu ikidaiwa ni kukatika kwa nyaya katika Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini

Baadhi ya Nchi zilizoripoti kupata shida kwenye mawasiliano ni Tanzania, IvoryCoast ambayo imeripoti kushuka kwa ubora kwa Intaneti hadi 4%, Benin 14% na Ghana kwa 25% huku nchi nyingine zilizopata shida zikiwa ni Afrika Kusini, Nigeria, Liberia, na Burkina Faso

Nchini Tanzania, Mtandao wa Vodacom umekiri kutokea kwa tatizo lililoathiri huduma za M-PESA, Kupiga na Kupokea Simu. Pia, Serikali za Nigeria na Liberia zimesema zimebaini uwepo wa tatizo la Intaneti.

Continue ReadingMitandao ya Netblocks na CloudflareRadar inayohusika na ufuatiliaji wa Huduma za Intaneti na Usalama Mtandaoni imesema baadhi ya Nchi Barani Afrika zimepatwa na tatizo la kukatika kwa Huduma za Intaneti, sababu ikidaiwa ni kukatika kwa nyaya katika Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini

Baadhi ya Nchi zilizoripoti kupata shida kwenye mawasiliano ni Tanzania, IvoryCoast ambayo imeripoti kushuka kwa ubora kwa Intaneti hadi 4%, Benin 14% na Ghana kwa 25% huku nchi nyingine zilizopata shida zikiwa ni Afrika Kusini, Nigeria, Liberia, na Burkina Faso

Nchini Tanzania, Mtandao wa Vodacom umekiri kutokea kwa tatizo lililoathiri huduma za M-PESA, Kupiga na Kupokea Simu. Pia, Serikali za Nigeria na Liberia zimesema zimebaini uwepo wa tatizo la Intaneti.

Baada ya kuondolewa katika Uongozi wa Chama cha CNL katika Mkutano uliofanyika mkoani Ngozi Kaskazini mwa Burundi, Mhe.Agathon Rwasa amerejea nchini baada ya kuwa nje ya nchi kikazi.

Mbunge Agathon Rwasa amepokelewa na familia na wafuasi wake katika chama cha CNL.

Nafasi ya Kiongozi huyo wa zamani wa kundi la waasi mwenye umri wa miaka 60 imechukuliwa na Nestor Girukwishaka.

Chama cha CNL ambacho kilianzishwa mwaka wa 2019, kilisimamishwa mwaka jana na serikali ya Burundi ikikituhumu kutotii sheria na kuhataraisha usalama wa ndani wa nchi.

Continue ReadingBaada ya kuondolewa katika Uongozi wa Chama cha CNL katika Mkutano uliofanyika mkoani Ngozi Kaskazini mwa Burundi, Mhe.Agathon Rwasa amerejea nchini baada ya kuwa nje ya nchi kikazi.

Mbunge Agathon Rwasa amepokelewa na familia na wafuasi wake katika chama cha CNL.

Nafasi ya Kiongozi huyo wa zamani wa kundi la waasi mwenye umri wa miaka 60 imechukuliwa na Nestor Girukwishaka.

Chama cha CNL ambacho kilianzishwa mwaka wa 2019, kilisimamishwa mwaka jana na serikali ya Burundi ikikituhumu kutotii sheria na kuhataraisha usalama wa ndani wa nchi.

TIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Simba SC ya Tanzania na Al Hilal ya Sudan, zikihitaji huduma ya straika wake Prince Dube.

Katika taarifa yake ilitolewa leo, Azam FC imesema inazifanyia kazi ofa hizo huku ikiweka milango wazi kwa timu nyingine zitakazomuhitaji mchezaji huyo raia wa Zimbabwe.

Prince Dube ambaye bado ana mkataba na Azam FC, alishaandika barua ya kuomba kuondoka klabuni hapo, na uongozi wa Azam FC ukaweka wazi utaratibu wa kimkataba ukimtaka kulipa Dola za Kimarekani 300,000/ ili kuvunja mkataba huo.

Continue ReadingTIMU ZINAZOWANIA KUMNASA PRINCE DUBE

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe huku aliyekuwa Kamanda wa…

Continue ReadingMkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.

Klabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .

Mkataba wa Singida na kibabage utaisha 2025, na atarejea katika kikosi cha Singida baada ya kumaliza mkataba wake wa mkopo kwa wananchi mwishoni mwa msimu huu. Taarifa za ndani zinasema…

Continue ReadingKlabu ya Simba imeonesha nia ya kutaka kumsajili mlinzi wa pembeni wa Singida Fountain Gate Nickson Kibabage ambaye yupo kwa mkopo Yanga SC .