KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA
MICHEZO Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City⚽ Mac…
MICHEZO Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City⚽ Mac…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
MICHEZO Wananchi wameendeleza mwenendo mzuri wa ushindi baada ya kuchukua alama zote tatu mbele ya Wauaji wa Kusini katika dimba la Majaliwa, Ruangwa licha ya kuwakosa baadhi ya wachezaji wake…
MAKALA Kila mwaka tarehe 8 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo huadhimishwa ili kuheshimu mafanikio ya wanawake, kuongeza uelewa kuhusu tofauti za kijinsia na ubaguzi, na pia kukuza…
NYOTA WETU Mwanamitindo wa Uingereza, Alyssa Jay anadai alipokea "ujumbe wa matusi" kutoka kwa mchezaji kandanda wa Everton baada ya kukataa kumtumia picha za utupu kwenye mtandao wa Snapchat.Alyssa Jay…
HABARI KUU MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh milioni 62.7 za mishahara ya waandishi wa…
NYOTA WETU Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya Azam viongozi wa klabu hiyo hufurahia mafanikio ya…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania 🇹🇿.
NYOTA WETU Mwanamuziki Taylor Swift alipokea ofa kubwa ambayo haijawekwa wazi kutoka Singapore ili kutumbuiza katika taifa hilo Asia ya Kusini-Mashariki wakati wa ziara yake ya Eras, kitendo ambacho kimeibua…
NYOTA WETU Kwa mara nyingine tena Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, alimuomba Msaidizi wake kumsomea somo la katekisimu wakati wa misa ya Jumatano. Papa aliongoza misa hiyo…