JE WAJUA KUWA KIHARUSI KINATIBIKA?KIHARUSI (STROKE) NI UGONJWA GANI?
Stroke au kiharusini tatizo linalotokea ghafla kwenye ubongo ambapo mtiririko wa damu kwenye eneo fulani la ubongo husitishwa ghafla au kupungua sana hivyo kusababisha eneo hilo la ubongo kukosa damu…