SABABU ZA JESHI KUONGEZA MUDA WA UTAWALA BURKINA FASO
Utawala wa Kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traoré, ambaye aliingia Madarakani Septemba 2022 kupitia Mapinduzi ya Kijeshi, atarefusha kipindi chake cha uongozi wa nchi kwa miaka mitano zaidi, kulingana na katiba…