TABIA 15 ZA WANAWAKE WALIOPOTEZA SIFA ZA KUOLEWA.
1.Mwanamke anaelaumu kwa kila kitu hata umfanyie zuri lipi bado atalaumu. Huona mabaya tu, hana zuri kwake. 2.Mwanamke anayejiona amekamilika, anajihisi anaweza kufanya lolote bila mwanaume, na kuhisi anaweza kufanya…