TANZANIA NCHI YA KWANZA KUNUNUA NDEGE YA BOEING MAX 9
HABARI KUU Tanzania imekuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kuwa na ndege aina ya Boeing Max 9. Ndege hiyo mpya imewasili nchini leo Machi 26, 2024 ikitokea Seattle, Marekani na…
HABARI KUU Tanzania imekuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kuwa na ndege aina ya Boeing Max 9. Ndege hiyo mpya imewasili nchini leo Machi 26, 2024 ikitokea Seattle, Marekani na…
HABARI KUU Mohamed Omary, mkazi wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro anayedaiwa kumuua mke wake na kumzika ndani ya nyumba walimokuwa wakiishi amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi…
NYOTA WETU Simba SC inakamilisha mazungumzo na beki wa kushoto mmwaga maji wa Al Hilal, Ibrahim Imoro anayesifika kwa kukaba na kupandisha timu na kupiga krosi za maana kwa washambuliaji.…
MICHEZO Kikosi cha Mamelodi Sundowns ambacho kinatarajiwa kutua nchini kesho Jumatano (Machi 27) kitakuwa bila nahodha wake Themba Zwane, ambaye hatacheza mchezo wa Jumamosi (Machi 30). Mamelodi itatua nchini na…
HABARI KUU Rais wa Urusi Vladmir Putin amekiri kwa mara ya kwanza kuwa watu itikadi kali ndio waliohusika na shambulizi la wiki iliyopita kwenye ukumbi wa tamasha la muziki nje…
MICHEZO Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta amesisitiza kwamba anataka Xavi Hernandez abaki kama kocha wa klabu hiyo baada ya msimu wa 2023/24. Xavi alitangaza nia yake ya kuondoka Barca…
MICHEZO Baada ya mlinzi wa Arsenal Wiliam Saliba kukosekana katika kikosi cha timu ya taifa Ufaransa na watu kuhoji, kocha wa kikosi hicho Didier Deschamps ameibuka na kusema mlinzi huyo…
HABARI KUU Wanabari Wawili wa Mkoa wa Lindi wakiripotia Star TV& Radio Free Africa na mwingine wa Channel Ten wamefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Nyamwage mkoa wa…
HABARI KUU Mgombea Urais kutoka kambi ya upinzani nchini Senegal, Bassirou Diomaye Faye ndiye Rais mpya wa Senegal baada ya kushinda Uchaguzi wa Rais nchini humo ikiwa ni wiki moja…