RUBANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 10 KWA ULEVI
HABARI KUU Rubani mmoja wa Shirika la Ndege la Delta, amehukumiwa kifungo cha miezi 10 Jela kwa kufika kazini akiwa amelewa. Mnamo Juni 16 mwaka jana Rubani Lawrence Russell Jr…
HABARI KUU Rubani mmoja wa Shirika la Ndege la Delta, amehukumiwa kifungo cha miezi 10 Jela kwa kufika kazini akiwa amelewa. Mnamo Juni 16 mwaka jana Rubani Lawrence Russell Jr…
HABARI KUU Mgombea urais Donald Trump amesema kama atashinda urais Novemba mwaka huu atamfukuza mwana mfalme wa Uingereza, Prince Harry iwapo atakuwa amedanganya kuhusu utumiaji wake wa dawa za kulevya…
NYOTA WETU Msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa almaarufu la Mzee wa Mjegeje amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo amethibitisha taarifa…
HABARI KUU Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba amesema hali ya Uchumi ni nzuri na wanaosema Maisha yamekuwa magumu wafanye kazi kwasababu hayajawahi kuwa rahisi tangu Mungu alipoumba…
HABARI KUU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano…
MICHEZO Nahodha na Mshambuliaji Lionel Messi atakosa mechi zijazo za Kimataifa ya Kirafiki za Argentina dhidi ya El Salvador na Costa Rica kwa sababu ya jeraha la msuli wa paja…
HABARI KUU Aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Paulo Teveli amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela bila faini, baada ya kutiwa hatiani kwa uhujumu uchumi. Teveli…
MICHEZO Mshambuliaji wa Liverpool, Darwin Nunez, amejiondoa kwenye kikosi cha Uruguay kwa ajili ya mechi zao za kimataifa za Machi kutokana na jeraha.Nunez alipata jeraha la msuli wa paja wakati…
HABARI KUU Leo ni Siku ya Kimataifa ya Furaha, ambapo kwa mara ya saba mfululizo nchi ya Finland imetangazwa kuwa raia wake wana furaha zaidi duniani, ikifuatiwa na majirani zake…
MICHEZO Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kufungua milango kwa mchezaji mwenzao, Mason Greenwood kurudi kuichezea timu hiyo ya Old Trafford.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22, alikuwa na hofu huenda…