MAMBO 7 YA SIRI AMBAYO MWANAUME ANAPENDA KUTOKA KWA MWANAMKE
MAPENZI Kuna mambo mengi ambayo wanaume wengi wangependa kufanyiwa na wake zao,lakini huwa sio majasiri wa kuyasema. Wanaume huwa hawapendi kuonekana wanapenda sana au kuonyesha ushawishi kwa wapendwa wao,huwa wanakaa…