CHADEMA yatimua Vyombo vya Habari kwenye Uchaguzi
Na; mwandishi wetu Katika hali isiyotarajiwa waandishi wa habari na wadau wengine wanaotajwa kutohusika moja kwa moja na uchaguzi, wameondoshwa kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama…