WAZIRI MKUU OUSMANE SONKO ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI SENEGAL

0:00

HABARI KUU

Siku tatu baada ya kuapishwa kwa Rais wa tano wa nchi ya Senegal Bassirou Diomaye Faye, Waziri Mkuu Ousmane Sonko ameunda Serikali mpya yenye Mawaziri 25 na Makatibu watano wa Serikali.

Katika Mawaziri hao ishirini na tano, karibu kumi kati yao walikuwa wanaunda serikali iliyopita chini ya Macky Sall.

Waziri wa Mambo ya Nje ameteuliwa Yassine Fall huku katika Wizara ya Nishati akiteuliwa Mwanamke.

Watendaji 13 kutoka katika Chama cha kisiasa cha Pastef wamewekwa katika nyadhifa zote za Mawaziri kama vile El Malick Ndiaye, aliyeteuliwa katika Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi na Msemaji wa Serikali na Amadou Moustapha Ndiak Saré akiteuliwa kuwa Waziri wa Mafunzo ya ufundi.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

THE 28 LAWS OF LOVE ...
LOVE ❤ 1. If you want to be hugged; keep...
Read more
WAUMINI WA KANISA WAKAMATWA KWA KUZUIA WATOTO...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Singer Fireboy addressed the buzz surrounding his...
Nigerian music sensation Adedamola Adefolahan, widely recognized as Fireboy, has...
Read more
MAKOSA 13 AMBAYO WANAWAKE WALIOPO KWENYE NDOA...
MAPENZI. 1. Wanawake wengi huwa wanavaa ili kuonesha uzuri wao...
Read more
Mbwana Samatta aisaidia PAOK kubeba Ubingwa
MICHEZO Nahodha wa kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania (Taifa...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  MAMELODI SUNDOWNS MBIONI KUMSAJILI AZIZ KI STEPHANE

Leave a Reply