WAFANYABIASHARA WAMUOMBA RAIS TINUBU KUWAPA WANAJESHI WA KULINDA MAFUTA

0:00

HABARI KUU

Muungano wa wafanyakazi wa mafuta nchini Nigeria umemuomba Rais Bola Tinubu kupeleka wanajeshi zaidi, ili kukabiliana na wizi wa mafuta.

Ombi hilo linakuja kufuatia wizi mkubwa wa mafuta kwenye mabomba na visima ambao umekuwa ni changamoto kwa Tinubu katika miaka ya hivi karibuni, huku ikidaiwa anapoteza fedha za Serikali na kupunguza pato na mauzo nje ya nchi.

Nigeria ni mzalishaji mkubwa wa mafuta barani Afrika, na anategemea bidhaa hiyo kwa zaidi ya theluthi mbili ya mapato yake na takriban asilimia 90 ya mapato ya fedha za kigeni.

Hata hivyo inadaiwa kuwa pato la mafuta lilifikia mapipa milioni 1.48 kwa siku mwezi Februari, ingawa uzalishaji wa mafuta unaimarika hatua kwa hatua, lakinj bado uko chini ya lengo la bajeti la mapipa milioni 1.78 kwa siku.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

CAF President Dr Motsepe meets Kenya Head...
The Confédération Africaine de Football (CAF) President Dr Patrice Motsepe...
Read more
Kano Court Orders 10 Million Naira Compensation...
A court ruling in Kano has directed the Kano State...
Read more
PRINCE DUBE NA AZAM FC KIMEELEWEKA
MICHEZO Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya mshambuliaji...
Read more
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT KISSING...
❤ 1. Kissing is not just meant for sex2. You...
Read more
Praise for Feyenoord after surprise win at...
Feyenoord’s players might not have realised the enormity of their...
Read more
See also  MSIMAMIZI wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kwahani Unguja Safia Iddi Mohammed, amemtangaza Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Khamis Yussuf maarufu Pele kuwa Mbunge wa Jimbo hilo.

Leave a Reply