MAPENZI Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu! Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere! Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra! Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata! Wako wanawake ambao, ole achukie! Atakachokishika usipokimbia anakutandika nacho, majuto baadaye! Mwanamke mwingine akikasirika,…
Related Posts 📫
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.