MICHEZO
Klabu ya TP Mazembe imechapisha taarifa kuwa nguli wake Rainford Kalaba yupo kwenye wodi ya wagonjwa mahututi nchini Zambia baada ya kupata ajali mbaya ya gari mapema leo Aprili 13.
Awali vyanzo mbalimbali vya habari vilichapisha taarifa kuwa mwanandinga huyo wa zamani amefariki Dunia kwenye ajali hiyo taarifa ambayo imesahihishwa na klabu yake ya TP Mazembe anapohudumu nafasi ya mshauri msaidizi wa ufundi.
Kalaba amepata ajali ya gari katika barabara ya Kafue Lusaka Zambia
Related Content
Related News 📫
England and New Zealand were fined 15% of their match...
Renowned Nigerian personalities such as the influential Cubana Chief Priest,...