0:00
NYOTA WETU
Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio cha Clouds FM, Gadner G. Habash (Captain) amefariki Dunia leo April 20, 2024.
Gadner alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure .
Kupitia kipindi cha JAHAZI Gadner alijizolea umaarufu mkubwa kwa namna yake ya pekee ya utangazaji aliyokuwa nayo.
Related Posts 📫
Salah is entering the final year of his Liverpool contract...
Southgate announced his resignation after eight years in charge of...
Wananchi wa Uingereza wanaendelea kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
…Dr. Motsepe will meet with the Heads of State and...
Sikandar Raza smashed an unbeaten 133 in 43 balls as...