0:00
MICHEZO
Wananchi wameendeleza ubabe kwenye ‘Derby’ ya pili ya msimu baada ya kuibuka na ushindi mwingine dhidi ya Watani, Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa.
YANGA SC 2-1 SIMBA SC
⚽ Aziz Ki (P) 20′
⚽ Guede 37′
⚽ Freddy Kouablan 74′
Wananchi wanakwenda mpaka pointi 12 mbele ya Mnyama wakifikisha alama 58 baada ya mechi 22 huku Wekundu wa Msimbazi wakisalia nafasi ya tatu alama 46 baada ya mechi 21.
Related Posts 📫
Black Galaxies coach, Mas-Ud Didi Dramani, has called on Ghanaians...
MICHEZO
Msanii kiongozi wa Kundi la Reggae la Morgan Heritage,...
MICHEZO
Timu ya soka ya Ihefu iliyohamisha makazi yake kutoka...
MICHEZO
Nahodha wa kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania (Taifa...