0:00
MICHEZO
Ligi Kuu Uhispania inaendelea tena leo Aprili 21, 2024 kwa mechi nne huku macho na masikio ya wengi yakielekezwa kwenye dimba la Estadio Santiago Bernabéu (Madrid) ambapo utapigwa mchezo wa El Clasico kati ya wenyeji Real Madrid dhidi ya Barcelona.
22:00 Real Madrid vs Barcelona
🏟️ Santiago Bernabéu, Madrid
MECHI 5 ZILIZOPITA
Real Madrid 4-1 Barcelona (fainali Super Cup)
Barcelona 1-2 Real Madrid (Laliga)
Real Madrid 0-3 Barcelona (mechi ya kirafiki)
Barcelona 0-4 Real Madrid (nusu fainali Copa Del Rey)
Barcelona 2-1 Real Madrid (Laliga)
PICHA ZA EL CLASSICO
Related Posts 📫
An early warning report has revealed a troubling increase...
NYOTA WETU
Rais Samia Suluhu Hassan ameibuka tishio kwa vyama vya...
AN APPETITE FOR FOODEspecially if she is a good cook,...
CELEBRITIES
Popular Nollywood actress, Uche Ogbodo has traded words with...