SABABU TFF KURUDISHA LIGI YA MUUNGANO

0:00

MICHEZO

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Kombe la Muungano linarejea tena wakati ambao Taifa linasherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema TFF kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) zimetangaza kurejea kwa kombe hilo huku ikibainisha kuwa timu za Simba SC na Azam FC kutoka Tanzania Bara, zitashiriki katika Mashindano hayo ya mwaka huu yenye sura ya Uzinduzi wa Kombe hilo, huku kwa upande wa Visiwani timu shiriki ni mabingwa wa Zanzibar, KMKM pamoja na KVZ FC.

Mechi hizo zitachezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia Aprili 23.

“TFF na ZFF tunawaomba Watanzania wote kushirikiana ili kufanikisha mashindano haya kwa ufanisi na ubora wa hali ya juu.” imesema taarifa hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

TIMI DAKOLO AND WIFE,BUSOLA MARK 12 WEDDINGS...
OUR STAR 🌟 Renowned gospel singer, Timi Dakolo celebrates his...
Read more
"I WANT TO SPOIL MY BABY" MR...
OUR STAR 🌟 Nigerian singer and record executive, Mr Eazi...
Read more
MAJALIWA ATAJA ALIPO MAKAMU WA RAIS PHILIPO...
HABARI KUU Kaimu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu...
Read more
Duale's Political Future in Limbo After Ruto...
The political future of Adan Bare Duale hangs in the...
Read more
Chairman of the Economic and Financial Crimes...
Olukoyede stated this on Thursday on the occasion of 2024...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Argentina yatinga nusu fainali licha ya Lionel Messi kukosa penalti

Leave a Reply