0:00
AFYA
DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
⚫ Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID
1.🖇️ Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.
2.🖇️Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.
3.🖇️Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
4.🖇️Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).
5.🖇️Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.
6.🖇️Hupatwa na kichefuchefu.
7.🖇️ Kutapika
8.🖇️Miwasho sehemu za
siri
9.🖇️Uchovu
10.🖇️Uke kuwa mlaini sana
11.🖇️Kizunguzungu
12.🖇️Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
13.🖇️Kuvurugika kwa Hedhi.
⚫️ Kwa maelezo zaidi, Ushauri wa kitabibu na Matibabu pia basi usisite kuwasiliana nasi
Related Posts 📫
CELEBRITIES
Veteran Nigerian actress, Ini Edo has frowned at the...
Celtic kicked off their Champions League campaign with a 5-1...
TIPS
To remove the odour from your hands after cutting onions,...
During a conference organized by the Manufacturers Association of Nigeria,...
THE SLEEP AND LET'S TALK TOMORROW TECHNIQUEThis is when a...