HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

0:00

MICHEZO

Mlinzi wa Klabu ya ASEC Mimosas, Anthony Tra Bi Tra anatajwa huko Msimbazi kwenda kuziba pengo la Henock Inonga ambaye Taarifa zinaeleza kuwa mwishoni mwa msimu anaelekea AS FAR Rabat ya Morocco.

Nyota huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 25 ameiongoza ASEC kutinga hatua ya robo Fainali ya CAF Champions League msimu huu akicheza michezo yote 12 ya ambayo ASEC Mimosas wamecheza kwenye michuano hiyo.

Inaelezwa kuwa Anthony Tra Bi anataka kuondoka ndani ya ASEC mwishoni mwa msimu huu na anataka kwenda kutafuta changamoto baada ya kuitumikia timu hiyo toka mwaka 2021.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

28 REASONS BE A KILLERS OF MARRIAGE
LOVE ❤ 1 Laziness kills...
Read more
Interesting facts of chicken egg fertility that...
🪶 It is possible to have a rooster and a...
Read more
An autopsy has suggested that a drug...
According to the findings of an autopsy conducted at LASUTH...
Read more
President Bola Tinubu says his administration will...
The President stated this while receiving a presentation titled, ‘Harnessing...
Read more
Kenyan President Emphasizes Competence and Unity in...
Kenyan President William Ruto expressed his commitment to carefully selecting...
Read more
See also  JE ULAJI WA UDONGO UNA MADHARA GANI KWA MAMA NA MTOTO ALIYEPO TUMBONI

Leave a Reply