0:00
MICHEZO
Mshambuliaji Earling Halaand amepachika mabao manne kwenye ushindi wa 5-1 waliopata Manchester City dhidi ya Wolves kwenye muendelezo wa ligi kuu soka nchini England
Ushindi huo umewasogeza zaidi na ubingwa miamba hiyo wenye alama 82 baada ya michezo 35 wakiwa alama moja tu nyuma ya vinara Arsenal huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi
Endapo Manchester City itapata ushindi kwenye michezo yake yote mitatu iliyosalia kwenye EPL basi watatwaa tena uchampioni wa ligi hiyo pendwa
City amebakiza michezo ya ugenini dhidi ya Fulham na Tottenham na mwisho atamalizia nyumbani dhidi ya West Ham United, timu zote hizo zikitokea London
Related Posts 📫
LOVE TIPS ❤
PRAYER IS NOT ENOUGH
Are you praying for...
NYOTA WETU
Mrembo Caren Simba amejikuta kwenye wakati mgumu wa...
The Independent Petroleum Marketers Association of Nigeria (IPMAN) has expressed...
Luis Diaz's clinical 13th-minute finish on his 100th appearance for...