CRYSTAL PALACE YAICHAPA MANCHESTER 4-0

0:00

MICHEZO

Crystal Palace imeifunga Manchester United nyumbani na ugenini kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ligi kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba la Selhurst Park.

Crystal Palace 4-0 Man United

Mabao ya Crystal Palace yamefungwa na;
⚽ Olise 13′
⚽ Mateta 40′
⚽ Mitchell 58′
⚽ Olise 66′

Manchester United imeruhusu magoli 81 ikiwa ni idadi kubwa ya magoli katika historia ya klabu hiyo tangu 1976.

Aidha Mashetani Wekundu wamepoteza mechi nyingi zaidi 13 kihistoria kwenye msimu mmoja wa Ligi Kuu England.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Rodrigo afichua siri ya Arsenal kukosa Ubingwa wa EPL
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading